Ezra 8:6 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ebedi, mwana wa Yonathani, wa ukoo wa Adini, pamoja na wanaume 50.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wa wazao wa Adini, alikuwa Ebedi mwana wa Yonathani na wanaume hamsini;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wa wana wa Adini, Ebedi, mwana wa Yonathani; na pamoja naye wanaume hamsini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ebedi, mwana wa Yonathani, wa ukoo wa Adini, pamoja na wanaume 50.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wa wazao wa Adini, alikuwa Ebedi mwana wa Yonathani na wanaume 50 pamoja naye;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wa wazao wa Adini, alikuwa Ebedi mwana wa Yonathani na wanaume 50 pamoja naye;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wa wana wa Adini, Ebedi, mwana wa Yonathani; na pamoja naye wanaume hamsini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ebedi, mwana wa Yonathani, wa ukoo wa Adini, pamoja na wanaume 50.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwa wana wa Adini: Ebedi, mwana wa Yonatani, tena pamoja naye waume 50;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wa wana wa Adini, Ebedi, mwana wa Yonathani; na pamoja naye wanaume hamsini.