Ezra 8:7 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeshaya, mwana wa Athalia, wa ukoo wa Elamu, pamoja na wanaume 70.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wa wazao wa Elamu, alikuwa Yeshaya mwana wa Athalia, na wanaume sabini;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wa wana wa Elamu, Yeshaya, mwana wa Athalia; na pamoja naye wanaume sabini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeshaya, mwana wa Athalia, wa ukoo wa Elamu, pamoja na wanaume 70.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wa wazao wa Elamu, alikuwa Yeshaya mwana wa Athalia, na wanaume 70 pamoja naye;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wa wazao wa Elamu, alikuwa Yeshaya mwana wa Athalia, na wanaume 70 pamoja naye;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wa wana wa Elamu, Yeshaya, mwana wa Athalia; na pamoja naye wanaume sabini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeshaya, mwana wa Athalia, wa ukoo wa Elamu, pamoja na wanaume 70.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwa wana wa Elamu: Yesaya, mwana wa Atalia, tena pamoja naye waume 70;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wa wana wa Elamu, Yeshaya, mwana wa Athalia; na pamoja naye wanaume sabini.