Ezra 8:9 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Obadia, mwana wa Yehieli, wa ukoo wa Yoabu, pamoja na wanaume 218.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wa wazao wa Yoabu, alikuwa Obadia mwana wa Yehieli na wanaume mia mbili kumi na nane;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wa wana wa Yoabu, Obadia, mwana wa Yehieli; na pamoja naye wanaume mia mbili na kumi na wanane.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Obadia, mwana wa Yehieli, wa ukoo wa Yoabu, pamoja na wanaume 218.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wa wazao wa Yoabu, alikuwa Obadia mwana wa Yehieli na wanaume 218 pamoja naye;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wa wazao wa Yoabu, alikuwa Obadia mwana wa Yehieli na wanaume 218 pamoja naye;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wa wana wa Yoabu, Obadia, mwana wa Yehieli; na pamoja naye wanaume mia mbili na kumi na wanane.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Obadia, mwana wa Yehieli, wa ukoo wa Yoabu, pamoja na wanaume 218.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwa wana wa Yoabu: Obadia, mwana wa Yehieli, tena pamoja naye waume 218;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wa wana wa Yoabu, Obadia, mwana wa Yehieli; na pamoja naye wanaume mia mbili na kumi na wanane.