Ezra 9:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Lakini sasa, ee Mungu wetu, tuseme nini baada ya hayo yote? Maana, tumeziasi amri zako
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Lakini sasa, Ee Mungu wetu, tunaweza kusema nini baada ya hili? Kwa maana tumedharau maagizo
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na sasa, Ee Mungu wetu, tuseme nini baada ya hayo? Maana tumeziacha amri zako,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Lakini sasa, ee Mungu wetu, tuseme nini baada ya hayo yote? Maana, tumeziasi amri zako
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Lakini sasa, Ee Mungu wetu, tunaweza kusema nini baada ya hili? Kwa maana tumedharau maagizo
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Lakini sasa, Ee Mungu wetu, tunaweza kusema nini baada ya hili? Kwa maana tumedharau maagizo
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na sasa, Ee Mungu wetu, tuseme nini baada ya hayo? Maana tumeziacha amri zako,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Lakini sasa, ee Mungu wetu, tuseme nini baada ya hayo yote? Maana, tumeziasi amri zako
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Na sasa tusemeje, Mungu wetu, hayo yakifanyika kwetu? Kwani tumeyaacha maagizo yako,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na sasa, Ee Mungu wetu, tuseme nini baada ya hayo? Maana tumeziacha amri zako,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Lakini sasa, ee Mungu wetu, tuseme nini nyuma ya hayo yote? Maana, tumeziasi amri zako