Ezra 9:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ulizotupa kwa njia ya watumishi wako manabii ukisema: ‘Nchi mnayoiendea na ambayo itakuwa mali yenu ni nchi iliyo najisi yenye uchafu wa wakazi toka nchi mbalimbali, kwa machukizo yao, wameijaza unajisi tele kila mahali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
uliyoyatoa kupitia watumishi wako manabii uliposema: ‘Nchi mnayoiingia kuimiliki ni nchi iliyochafuliwa na uovu wa watu wake. Kwa matendo yao ya machukizo wameijaza nchi kwa unajisi wao kutoka mwisho mmoja hadi mwingine.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ulizoziamuru kwa midomo ya watumishi wako, manabii, ukisema, Nchi ile, mnayoiendea ili kuimiliki, ni nchi ya uchafu, kwa sababu ya uchafu wa watu wa nchi zile, kwa ajili ya machukizo yao, yaliyoijaza tangu upande huu mpaka upande huu, kwa uchafu wao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ulizotupa kwa njia ya watumishi wako manabii ukisema: ‘Nchi mnayoiendea na ambayo itakuwa mali yenu ni nchi iliyo najisi yenye uchafu wa wakazi toka nchi mbalimbali, kwa machukizo yao, wameijaza unajisi tele kila mahali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
uliyoyatoa kupitia watumishi wako manabii uliposema: ‘Nchi mnayoingia kuimiliki ni nchi iliyochafuliwa na uovu wa watu wake. Kwa matendo yao ya machukizo wameijaza nchi kwa unajisi wao kutoka mwisho mmoja hadi mwingine.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
uliyoyatoa kupitia watumishi wako manabii uliposema: ‘Nchi mnayoiingia kuimiliki ni nchi iliyochafuliwa na uovu wa watu wake. Kwa matendo yao ya machukizo wameijaza nchi kwa unajisi wao kutoka mwisho mmoja hadi mwingine.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ulizoziamuru kwa midomo ya watumishi wako, manabii, ukisema, Nchi ile, mnayoiendea ili kuimiliki, ni nchi ya uchafu, kwa sababu ya uchafu wa watu wa nchi zile, kwa ajili ya machukizo yao, yaliyoijaza tangu upande huu mpaka upande huu, kwa uchafu wao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ulizotupa kwa njia ya watumishi wako manabii ukisema: ‘Nchi mnayoiendea na ambayo itakuwa mali yenu ni nchi iliyo najisi yenye uchafu wa wakazi toka nchi mbalimbali, kwa machukizo yao, wameijaza unajisi tele kila mahali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
uliyotuagiza vinywani mwao watumishi wako wafumbuaji kwamba: Nchi, mtakayoiingia kuichukua, ni nchi yenye uchafu kwa ajili ya machafu ya makabila ya nchi hizo na kwa ajili ya matapisho yao, waliyoyafurikisha huko toka mpaka hata mpaka kwa machukizo yao ya kimizimu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ulizoziamuru kwa midomo ya watumishi wako, manabii, ukisema, Nchi ile, mnayoiendea ili kuimiliki, ni nchi ya uchafu, kwa sababu ya uchafu wa watu wa nchi zile, kwa ajili ya machukizo yao, yaliyoijaza tangu upande huu mpaka upande huu, kwa uchafu wao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ulizotupa kwa njia ya watumishi wako manabii ukisema: ‘Inchi munayoiendea na ambayo itakuwa mali yenu ni inchi chafu, yenye uchafu wa wakaaji toka inchi mbalimbali, kwa machukizo yao, wameijaza uchafu tele, kila nafasi.