Ezra 9:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nilipoyasikia maelezo hayo, nilizirarua nguo zangu na joho langu, nikazingoa nywele zangu na ndevu zangu kwa huzuni kubwa na kuketi chini kwa hofu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Niliposikia jambo hili nilirarua koti langu na joho langu, nikazing’oa nywele za kichwa changu na ndevu zangu na kuketi nikishangaa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami niliposikia hayo, nikararua nguo yangu na joho yangu, nikang'oa nywele za kichwa changu, na ndevu zangu, nikaketi kwa mshangao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nilipoyasikia maelezo hayo, nilizirarua nguo zangu na joho langu, nikazing'oa nywele zangu na ndevu zangu kwa huzuni kubwa na kuketi chini kwa hofu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Niliposikia jambo hili nilirarua koti langu na joho langu, nikazing'oa nywele za kichwa changu na ndevu zangu na kuketi nikishangaa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Niliposikia jambo hili nilirarua koti langu na joho langu, nikazing’oa nywele za kichwa changu na ndevu zangu na kuketi nikishangaa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami niliposikia hayo, nikararua nguo yangu na joho langu, nikang'oa nywele za kichwa changu, na ndevu zangu, nikaketi kwa mshangao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nilipoyasikia maelezo hayo, nilizirarua nguo zangu na joho langu, nikazingoa nywele zangu na ndevu zangu kwa huzuni kubwa na kuketi chini kwa hofu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nilipolisikia neno hili nikazirarua nguo zangu na kanzu yangu, nikang'oa nywele za kichwani na za udevu, nikaja kukaa chini kwa kupigwa na bumbuazi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami niliposikia hayo, nikararua nguo yangu na joho yangu, nikang’oa nywele za kichwa changu, na ndevu zangu, nikaketi kwa mshangao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nilipoyasikia maelezo hayo, nikapasua nguo zangu na koti langu, nikaongoa nywele zangu na ndevu zangu kwa huzuni kubwa na kuikaa chini na kufazaika.