Galatians 1:19 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini sikuwaona mitume wengine isipokuwa Yakobo, ndugu yake Bwana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini sikumwona mtume mwingine yeyote isipokuwa Yakobo, ndugu yake Bwana Isa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini sikumwona mtume mwingine, ila Yakobo, ndugu yake Bwana.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Sikuonana na mtume mwingine yeyote, isipokuwa Yakobo mdogo wake Bwana peke yake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini sikuwaona mitume wengine isipokuwa Yakobo, ndugu yake Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini sikuwaona mitume wengine isipokuwa Yakobo, ndugu yake Bwana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini sikumwona mtume mwingine ye yote isipokuwa Yakobo, ndugu yake Bwana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini sikumwona mtume mwingine yeyote isipokuwa Yakobo, ndugu yake Bwana Isa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini sikumwona mtume mwingine, ila Yakobo, ndugu yake Bwana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini sikuwaona mitume wengine isipokuwa Yakobo, ndugu yake Bwana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini hakuna mtume mwingine, niliyemwona, asipokuwa Yakobo, nduguye Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini sikumwona mtume mwingine, ila Yakobo, ndugu yake Bwana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sikumwona mutu mwingine isipokuwa tu Yakobo, ndugu ya Bwana.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini sikumwona mtume mwingine illa Yakobo ndugu yake Bwana.