Galatians 1:2 — Compare Translations

13 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na ndugu wote walio pamoja nami tunayasalimu makanisa ya Galatia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na ndugu wote walio pamoja nami. Kwa makundi ya waumini wa Galatia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na ndugu wote walio pamoja nami, kwa makanisa ya Galatia;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Salamu pia kutoka kwa wote walio familia ya Mungu, walio pamoja nami. Kwa makanisa yaliyoko Galatia:
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
na ndugu wote walio pamoja nami, tunayaandikia makanisa yaliyoko Galatia. Mimi nimepata kuwa mtume si kutokana na mamlaka ya binadamu, wala si kwa nguvu ya mtu, bali kwa uwezo wa Yesu Kristo na wa Mungu Baba aliyemfufua Yesu kutoka wafu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na ndugu wote walio pamoja nami tunayasalimu makanisa ya Galatia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na ndugu wote walio pamoja nami: Kwa makanisa ya Galatia:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na ndugu wote walio pamoja nami: Kwa makundi ya waumini ya Galatia:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na ndugu wote walio pamoja nami, kwa makanisa ya Galatia;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na ndugu wote walio pamoja nami tunayasalimu makanisa ya Galatia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mimi pamoja na ndugu wote walio pamoja nami tunawaandikia ninyi wateule wa Galatia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na ndugu wote walio pamoja nami, kwa makanisa ya Galatia;
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
na ndugu wote walio pamoja nami, kwa makanisa ya Galatia,