Galatians 1:21 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baadaye nilikwenda katika tarafa za Siria na Kilikia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baadaye nilienda sehemu za Siria na Kilikia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Baadaye nalikwenda pande za Shamu na Kilikia.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Baadaye, nilielekea katika majimbo ya Shamu na Kilikia.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Baadaye nilikwenda katika tarafa za Siria na Kilikia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baadaye nilikwenda katika tarafa za Siria na Kilikia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baadaye nilikwenda sehemu za Syria na Kilikia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baadaye nilikwenda sehemu za Syria na Kilikia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Baadaye nilikwenda pande za Shamu na Kilikia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baadaye nilikwenda katika tarafa za Siria na Kilikia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha nikafika upande wa Ushami na Kilikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Baadaye nalikwenda pande za Shamu na Kilikia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyuma ya pale nikaenda pande za jimbo la Suria na la Kilikia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Khalafu nalikwenda pande za Sham na Kilikia.