Galatians 1:22 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati huo, mimi binafsi sikujulikana kwa jumuiya za Wakristo kule Yudea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini mimi binafsi sikujulikana kwa makundi ya waumini huko Yudea yaliyo katika Al-Masihi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini sikujulikana uso wangu na makanisa ya Uyahudi yaliyokuwa katika Kristo;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini kwa wakati ule, makanisa ya Kristo yaliyokuwa Uyahudi yalikuwa bado hayajanifahamu mimi binafsi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wakati huo, mimi binafsi sikujulikana kwa jumuiya za Wakristo kule Yudea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati huo, mimi binafsi sikujulikana kwa jumuiya za Wakristo kule Yudea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini mimi binafsi sikujulikana kwa makanisa ya huko Uyahudi yaliyo katika Kristo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini mimi binafsi sikujulikana kwa makundi ya waumini ya huko Uyahudi yaliyo katika Al-Masihi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini sikujulikana uso wangu na makanisa ya Yudea yaliyokuwa katika Kristo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati huo, mimi binafsi sikujulikana kwa jumuiya za Wakristo kule Yudea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nami nilikuwa sijajulikana uso kwa uso nao wateule wake Kristo walioko Yudea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini sikujulikana uso wangu na makanisa ya Uyahudi yaliyokuwa katika Kristo;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika siku zile makanisa ya Yudea yalikuwa hayajaniona kwa uso,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini sikujulika uso wangu na makanisa ya Yahudi yaliyo katika Kristo;