Galatians 1:23 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walichokuwa wanajua ni kile tu walichosikia: “Mtu yule aliyekuwa akitutesa hapo awali, sasa anaihubiri imani ileile aliyokuwa anajaribu kuiangamiza.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wao walisikia habari tu kwamba, “Mtu yule ambaye hapo awali alikuwa akitutesa sasa anahubiri imani ile ile aliyokuwa akijaribu kuiangamiza.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ila wamesikia tu ya kwamba huyo aliyetuudhi hapo kwanza, sasa anaihubiri imani ile aliyoiharibu zamani.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Walikuwa wamesikia tu juu yangu: “Mtu huyu alikuwa anatutesa. Lakini sasa anawaambia watu juu ya imani ile ile aliyojaribu kuiangamiza huko nyuma.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Walichokuwa wanajua ni kile tu walichosikia: “Mtu yule aliyekuwa akitutesa hapo awali, sasa anaihubiri imani ileile aliyokuwa anajaribu kuiangamiza.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walichokuwa wanajua ni kile tu walichosikia: “Mtu yule aliyekuwa akitutesa hapo awali, sasa anaihubiri imani ileile aliyokuwa anajaribu kuiangamiza.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wao walisikia habari tu kwamba, “Mtu yule ambaye hapo kwanza alikuwa akitutesa sasa anahubiri imani ile ile aliyokuwa akijaribu kuiangamiza.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wao walisikia habari tu kwamba, “Mtu yule ambaye hapo kwanza alikuwa akitutesa sasa anahubiri imani ile ile aliyokuwa akijaribu kuiangamiza.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ila wamesikia tu ya kwamba huyo aliyetutesa hapo kwanza, sasa anaihubiri imani ile aliyoiharibu zamani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walichokuwa wanajua ni kile tu walichosikia: “Mtu yule aliyekuwa akitutesa hapo awali, sasa anaihubiri imani ileile aliyokuwa anajaribu kuiangamiza.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ila walikuwa wamesikia tu: Yule aliyetufukuza kwanza sasa huipiga hiyo mbiu njema ya kumtegemea Bwana, alikokuwa amekujengua. Wakamtukuza Mungu kwa ajili yangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ila wamesikia tu ya kwamba huyo aliyetuudhi hapo kwanza, sasa anaihubiri imani ile aliyoiharibu zamani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
lakini yalikuwa yakisikia tu habari kwamba: “Yule aliyekuwa akitutesa zamani, sasa anahubiri habari za imani ile aliyokuwa akipotosha.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
ilia wamesikia tu ya kwamba yeye aliyetuudhi kwanza sasa anaikhubiri imani ile aliyoiharibu zamani.