Galatians 2:11 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Kefa alipofika Antiokia nilimpinga waziwazi maana alikuwa amekosea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Petro alipofika Antiokia, mimi nilimpinga ana kwa ana kwa sababu alikuwa amekosea kwa wazi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini Kefa alipokuja Antiokia, nalishindana naye uso kwa uso, kwa sababu alistahili hukumu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Petro alipokuja Antiokia, alifanya kitu ambacho hakikuwa sahihi. Nami nikampinga, kwa sababu hakika alikuwa na hatia mbele za Mungu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini Kefa alipofika Antiokia nilimpinga waziwazi maana alikuwa amekosea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Kefa alipofika Antiokia nilimpinga waziwazi maana alikuwa amekosea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Petro alipofika Antiokia, mimi nilimpinga ana kwa ana kwa sababu alikuwa amekosea kwa wazi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Petro alipofika Antiokia, mimi nilimpinga ana kwa ana kwa sababu alikuwa amekosea kwa wazi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini Kefa alipokuja Antiokia, nilishindana naye uso kwa uso, kwa sababu alistahili hukumu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Kefa alipofika Antiokia nilimpinga waziwazi maana alikuwa amekosea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Kefa alipofika Antiokia, nikambishia usoni pake, kwani alichongewa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini Kefa alipokuja Antiokia, nalishindana naye uso kwa uso, kwa sababu alistahili hukumu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Petro alipofika Antiokia, nilibishana naye waziwazi, kwa sababu alikuwa akidanganyika.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini Petro alipokuja Antiokia, nalishindana nae uso kwa uso, kwa sababu amepasiwa hukumu;