Galatians 2:13 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata ndugu wengine Wayahudi walimuunga mkono Petro katika kitendo hiki cha unafiki, naye Barnaba akakumbwa na huo unafiki wao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia Wayahudi wengine waliungana naye katika unafiki huu, hata Barnaba naye akapotoshwa na unafiki wao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hao Wayahudi wengine wakajigeuza pamoja naye, hata na Barnaba pia akachukuliwa na unafiki wao.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo Petro akafanya kama mnafiki, na waamini wengine pale Antiokia wakaungana naye katika unafiki huo. Wakamfanya hata Barnaba naye kuwa mnafiki kama wao.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hata ndugu wengine Wayahudi walimuunga mkono Petro katika kitendo hiki cha unafiki, naye Barnaba akakumbwa na huo unafiki wao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata ndugu wengine Wayahudi walimuunga mkono Petro katika kitendo hiki cha unafiki, naye Barnaba akakumbwa na huo unafiki wao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia Wayahudi wengine waliungana naye katika unafiki huu, hata Barnaba naye akapotoshwa na unafiki wao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia Wayahudi wengine waliungana naye katika unafiki huu, hata Barnaba naye akapotoshwa na unafiki wao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hao Wayahudi wengine wakajigeuza pamoja naye, hata na Barnaba pia akachukuliwa na unafiki wao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata ndugu wengine Wayahudi walimuunga mkono Petro katika kitendo hiki cha unafiki, naye Barnaba akakumbwa na huo unafiki wao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wenzake wa Kiyuda waliokuwako wakaufuata huo ujanja wake, naye Barnaba akaponzwa na huo ujanja wao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hao Wayahudi wengine wakajigeuza pamoja naye, hata na Barnaba pia akachukuliwa na unafiki wao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na waamini wengine Wayuda wakaanza kutenda kwa unafiki sawa Petro, na hata Barnaba akajiunga nao katika huo unafiki wao.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na Wayahudi wakajigeuza pamoja nae, hatta Barnaba nae akachukuliwa na unafiki wao.