Galatians 2:3 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini, hata mwenzangu Tito, ambaye ni Mgiriki, hakulazimika kutahiriwa,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini hata Tito aliyekuwa nami, na alikuwa Myunani, hakulazimika kutahiriwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini Tito aliyekuwa pamoja nami, naye ni Myunani, hakulazimishwa kutahiriwa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Tito, aliyekuwa pamoja nami ni Myunani. Hata hivyo viongozi hawa hawakulazimisha kumtahiri.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini, hata mwenzangu Tito, ambaye ni Mgiriki, hakulazimika kutahiriwa,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini, hata mwenzangu Tito, ambaye ni Mgiriki, hakulazimika kutahiriwa,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini hata Tito ambaye alikuwa Myunani, hakulazimika kutahiriwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini hata Tito ambaye alikuwa Myunani, hakulazimika kutahiriwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini Tito aliyekuwa pamoja nami, naye ni Mgiriki, hakulazimishwa kutahiriwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini, hata mwenzangu Tito, ambaye ni Mgiriki, hakulazimika kutahiriwa,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini hata Tito aliyekuwa pamoja nami hakushurutishwa kutahiriwa, angawa ni Mgriki.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini Tito aliyekuwa pamoja nami, naye ni Myunani, hakulazimishwa kutahiriwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na Tito aliyesafiri pamoja nami hakulazimishwa kutahiriwa ingawa alikuwa Mugriki,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini Tito aliyekuwa pamoja nami, aliyekuwa Myunani, hakulazimishwa kutahiriwa: