Galatians 2:5 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hatukukubaliana nao hata kidogo ili ukweli wa Injili ubaki nanyi daima.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
hatukukubaliana nao hata dakika moja, ili ukweli wa Injili ubaki nanyi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ambao hata saa moja hatukujitia chini yao, ili kwamba kweli ya Injili ikae pamoja nanyi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
lakini hatukujiweka chini ya chochote ambacho hawa ndugu wa uongo walikitaka. Tulitaka ukweli wa Habari Njema ubaki ule ule na hatimaye uwafikie na ninyi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hatukukubaliana nao hata kidogo ili ukweli wa Habari Njema ubaki nanyi daima.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hatukukubaliana nao hata kidogo ili ukweli wa Injili ubaki nanyi daima.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
hatukukubaliana nao hata dakika moja, ili kwamba ukweli wa Injili ubaki nanyi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
hatukukubaliana nao hata dakika moja, ili kwamba ukweli wa Injili ubaki nanyi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ambao hata saa moja hatukujitia chini yao, ili kwamba kweli ya Injili ikae pamoja nanyi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hatukukubaliana nao hata kidogo ili ukweli wa Injili ubaki nanyi daima.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nasi hatukushindika, tuwatii hao, hata saa moja tu, kwamba huo Utume mwema ufulize kujulikana kuwa wa kweli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ambao hata saa moja hatukujitia chini yao, ili kwamba kweli ya Injili ikae pamoja nanyi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini hatukukubali kuwatii watu wale hata kidogo, kusudi ukweli wa Habari Njema uendelee kuchungwa kati yenu siku zote.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hao waliingia kwa siri wapate kuupeleleza uhuru wetu tulio nao katika Yesu Kristo illi watutie utumwani: ambao hatta saa moja hatukujitia chini yao, illi kweli ya Injili ikae pamoja nanyi.