Galatians 3:12 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini sheria haitegemei imani, ila Maandiko yasema: “Mwenye kutimiza yanayotakiwa na sheria ataishi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Torati haitegemei imani. Kinyume chake, “Mtu atendaye matendo hayo ataishi kwa hayo.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na torati haikuja kwa imani, bali, Ayatendaye hayo ataishi katika hayo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Sheria haitegemei imani. Hapana, inasema kuwa njia pekee ambayo mtu anaweza kupata uzima kwa njia ya sheria ni kwa kutii amri zake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini Sheria haitegemei imani, ila Maandiko yasema: “Mwenye kutimiza yanayotakiwa na Sheria ataishi.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini sheria haitegemei imani, ila Maandiko yasema: “Mwenye kutimiza yanayotakiwa na sheria ataishi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini sheria haitegemei imani, kinyume chake, “Ye yote atendaye matendo ya sheria ataishi kwa sheria.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini sheria haitegemei imani. Kinyume chake, “Mtu atendaye matendo hayo ataishi kwa hayo.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na torati haikuja kwa imani, bali, Ayatendaye hayo ataishi katika hayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini sheria haitegemei imani, ila Maandiko yasema: “Mwenye kutimiza yanayotakiwa na sheria ataishi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Maonyo hayakutoka kwenye kumtegemea Mungu, ila: Atakayeyafanya atapata uzima kwa njia hiyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na torati haikuja kwa imani, bali, Ayatendaye hayo ataishi katika hayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na tena hakuna ushirika kati ya Sheria na imani. Lakini Maandiko Matakatifu yanasema: “Yule anayeshika maagizo ya Sheria hii ataishi kwa njia hiyo.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na sharia haikuja kwa imani, bali, Mtu atendae hayo ataishi katika hayo.