Galatians 3:25 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini kwa vile ile imani imekwisha fika, sisi hatuko tena chini ya mlezi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini sasa kwa kuwa ile imani imekuja, hatusimamiwi tena na Torati.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini, iwapo imani imekuja, hatupo tena chini ya kiongozi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Sasa kwa sababu imani hii imekuja, hatuhitaji tena kusimamiwa na kulelewa na sheria.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Tangu kufika kwa hiyo imani, Sheria si mlezi wetu tena.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini kwa vile ile imani imekwisha fika, sisi hatuko tena chini ya mlezi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini sasa kwa kuwa ile imani imekuja, hatusimamiwi tena na sheria.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini sasa kwa kuwa ile imani imekuja, hatusimamiwi tena na sheria.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini, iwapo imani imekuja, hatupo tena chini ya kiongozi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini kwa vile ile imani imekwisha fika, sisi hatuko tena chini ya mlezi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini tangu hapo, tegemeo lilipotokea, hatushikwi tena na mwongozi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini, iwapo imani imekuja, hatupo tena chini ya kiongozi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini tangia kufika kwa imani, sisi hatuko tena chini ya uangalizi ule.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini, iwapo imani imekuja, hatupo tena chini va mwalimu.