Galatians 3:27 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyinyi nyote mliobatizwa mkaungana na Kristo ni kama vile mmemvaa Kristo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana wote mliobatizwa ndani ya Al-Masihi, mmemvaa Al-Masihi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana ninyi nyote mliobatizwa katika Kristo mmemvaa Kristo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ndiyo, nyote mlibatizwa ili muunganike na Kristo. Hivyo sasa Kristo anawafunika kabisa kama kubadilisha nguo mpya kabisa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ninyi nyote mliobatizwa mkaungana na Kristo ni kama vile mmemvaa Kristo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyinyi nyote mliobatizwa mkaungana na Kristo ni kama vile mmemvaa Kristo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana wote mliobatizwa ndani ya Kristo, mmemvaa Kristo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana wote mliobatizwa ndani ya Al-Masihi, mmemvaa Al-Masihi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana ninyi nyote mliobatizwa katika Kristo mmemvaa Kristo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyinyi nyote mliobatizwa mkaungana na Kristo ni kama vile mmemvaa Kristo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maana ninyi nyote mliobatiziwa Kristo mmemvaa Kristo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana ninyi nyote mliobatizwa katika Kristo mmemvaa Kristo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivi, ninyi wote mulioungana na Yesu Kristo, kwa njia ya kubatizwa, ni kama vile mumevaa Kristo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maana ninyi nyote mliobatizwa na kuingizwa katika Kristo mmemvaa Kristo.