Galatians 3:4 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, mambo yale yote yaliyowapata nyinyi yamekuwa bure tu? Haiwezekani!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, mlipata mateso kiasi hicho bure? Ni kama kweli yalikuwa bure!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mmepatikana na mateso makubwa namna hii bure? Ikiwa ni bure kweli.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Je, mlipata uzoefu huo mwingi pasipo manufaa yoyote? Sidhani kama hivyo ndivyo!
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Je, mambo yale yote yaliyowapata ninyi yamekuwa bure tu? Haiwezekani!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, mambo yale yote yaliyowapata nyinyi yamekuwa bure tu? Haiwezekani!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, mlipata mateso kiasi hicho bure? Ni kama kweli yalikuwa bure!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, mlipata mateso kiasi hicho bure? Ni kama kweli yalikuwa bure!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mmepatikana na mateso makubwa namna hii bure? Ikiwa ni bure kweli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, mambo yale yote yaliyowapata nyinyi yamekuwa bure tu? Haiwezekani!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yale yote mmeteswa bure? Kweli siyo ya bure!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mmepatikana na mateso makubwa namna hii bure? Ikiwa ni bure kweli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mambo yote yaliyowatokea ninyi, yalikuwa ya bure? Hakika hayakukuwa ya bure.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mmepatikana na mateso makubwa namna hii burre? ikiwa ni burre.