Galatians 3:6 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Chukueni kwa mfano habari za Abrahamu: Yeye alimwamini Mungu, naye Mungu akamkubali kuwa mwadilifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama vile “Ibrahimu alimwamini Mungu na ikahesabiwa kwake kuwa haki.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama vile Ibrahimu alivyomwamini Mungu akahesabiwa haki.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Maandiko yanasema kitu hicho hicho kuhusu Ibrahimu. “Ibrahimu alimwamini Mungu, na Mungu akaikubali imani yake na akamhesabia haki.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Chukueni kwa mfano habari za Abrahamu: yeye alimwamini Mungu, naye Mungu akamkubali kuwa mwadilifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Chukueni kwa mfano habari za Abrahamu: yeye alimwamini Mungu, naye Mungu akamkubali kuwa mwadilifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama vile Abrahamu, alivyomwamini Mungu ikahesabiwa kwake kuwa haki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama vile “Ibrahimu alimwamini Mungu na ikahesabiwa kwake kuwa haki.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama vile Abrahamu alivyomwamini Mungu akahesabiwa haki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Chukueni kwa mfano habari za Abrahamu: Yeye alimwamini Mungu, naye Mungu akamkubali kuwa mwadilifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, yalivyokuwa nayo ya Aburahamu: Akamtegemea Mungu, kwa hiyo akawaziwa kuwa mwenye wongofu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama vile Ibrahimu alivyomwamini Mungu akahesabiwa haki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivyo “Abrahamu alimwamini Mungu, na kwa hiyo akahesabiwa kuwa mwenye haki.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kama vile Ibrahimu alivyomwamini Mungu akahesabiwa kuwa ana haki.