Galatians 3:9 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, wale walio na imani wanabarikiwa pamoja na Abrahamu aliyeamini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa sababu hii, wale wote wanaoamini wanabarikiwa pamoja na Ibrahimu, mtu wa imani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi hao walio wa imani hubarikiwa pamoja na Ibrahimu aliyekuwa mwenye imani.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kwa hiyo, wale wote wanaoweka imani yao kwa Mungu ndiyo wanaobarikiwa pamoja na Ibrahimu aliyekuwa mwaminifu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, wale walio na imani wanabarikiwa pamoja na Abrahamu aliyeamini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, wale walio na imani wanabarikiwa pamoja na Abrahamu aliyeamini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa sababu hii, wale wote wanaoamini wanabarikiwa pamoja na Abrahamu, mtu wa imani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa sababu hii, wale wote wanaoamini wanabarikiwa pamoja na Ibrahimu, mtu wa imani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi hao walio wa imani hubarikiwa pamoja na Abrahamu aliyekuwa mwenye imani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, wale walio na imani wanabarikiwa pamoja na Abrahamu aliyeamini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo wenye kumtegemea Mungu hubarikiwa pamoja na Aburahamu aliyekuwa mtegemevu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi hao walio wa imani hubarikiwa pamoja na Ibrahimu aliyekuwa mwenye imani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kufuatana na hiyo, Mungu atawabariki wote wanaoamini sawa vile alivyomubariki Abrahamu, mwenye imani.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi walio wra imani wabarikiwa pamoja na Ibrahimu aliyekuwa mwaminifu.