Galatians 4:13 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mnajua kwamba ugonjwa wangu ndio ulionipatia fursa ya kuwahubirieni Injili kwa mara ya kwanza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninyi mwajua kwamba ni kwa ajili ya udhaifu wangu niliwahubiria Injili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini mwajua ya kuwa naliwahubiri Injili mara ya kwanza kwa sababu ya udhaifu wa mwili;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mnajua kuwa nilikuja kwenu mara ya kwanza kwa sababu nilikuwa mgonjwa. Ndipo nilipowaeleza ninyi Habari Njema.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mnajua kwamba ugonjwa wangu ndio ulionipatia fursa ya kuwahubirieni Habari Njema kwa mara ya kwanza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mnajua kwamba ugonjwa wangu ndio ulionipatia fursa ya kuwahubirieni Injili kwa mara ya kwanza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninyi mwajua kwamba ni kwa ajili ya udhaifu wangu niliwahubiria injili,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninyi mwajua kwamba ni kwa ajili ya udhaifu wangu niliwahubiria Injili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini mwajua ya kuwa niliwahubiria Injili mara ya kwanza kwa sababu ya udhaifu wa mwili;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mnajua kwamba ugonjwa wangu ndio ulionipatia fursa ya kuwahubirieni Injili kwa mara ya kwanza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mwajua: hapo kwanza nilipowapitia hiyo mbiu njema nilikuwa mnyonge wa mwili;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini mwajua ya kuwa naliwahubiri Injili mara ya kwanza kwa sababu ya udhaifu wa mwili;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Munakumbuka kwamba niliwahubiri Habari Njema kwa mara ya kwanza kwa sababu ya ugonjwa nilioupata.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini mwajua ya kuwa naliwakhubiri Injili marra ya kwanza kwa sababu ya ndhaifu wa mwili;