Galatians 4:16 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, sasa nimekuwa adui yenu kwa sababu ya kuwaambieni ukweli?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, sasa nimekuwa adui yenu kwa kuwaambia ukweli?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Nimekuwa adui wenu kwa sababu nawaambia yaliyo kweli?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Je, nimekuwa sasa adui yenu kwa sababu nawaambia ukweli?
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Je, sasa nimekuwa adui yenu kwa sababu ya kuwaambieni ukweli?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, sasa nimekuwa adui yenu kwa sababu ya kuwaambieni ukweli?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, sasa nimekuwa adui yenu kwa kuwaambia kweli?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, sasa nimekuwa adui yenu kwa kuwaambia kweli?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Nimekuwa adui yenu kwa sababu nawaambia yaliyo kweli?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, sasa nimekuwa adui yenu kwa sababu ya kuwaambieni ukweli?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Nimegeuka kuwa mchukivu wenu kwa kuwaambia yaliyo ya kweli?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Nimekuwa adui wenu kwa sababu nawaambia yaliyo kweli?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi nimegeuka sasa adui yenu kwa sababu ya kuwaambia ukweli?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi, je! nimekuwa adui wenu kwa sababu nawa ambieni yaliyo kweli?