Galatians 4:2 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati huo wote yuko chini ya walezi na wadhamini mpaka wakati ule uliowekwa na baba yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye huwa chini ya uangalizi wa walezi na wadhamini hadi ufike wakati uliowekwa na baba yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
bali yu chini ya mawakili na watunzaji, hata wakati uliokwisha kuamriwa na baba.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wakati wa utoto bado anapaswa kuwatii wale waliochaguliwa kumtunza. Lakini anapoufikia umri ambao baba yake ameuweka, anakuwa huru.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wakati huo wote yuko chini ya walezi na wadhamini mpaka wakati ule uliowekwa na baba yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati huo wote yuko chini ya walezi na wadhamini mpaka wakati ule uliowekwa na baba yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye huwa yuko chini ya uangalizi wa walezi na wadhamini mpaka ufike wakati uliowekwa na baba yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye huwa yuko chini ya uangalizi wa walezi na wadhamini mpaka ufike wakati uliowekwa na baba yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
bali yuko chini ya mawakili na watunzaji, hadi wakati uliokwisha kuamriwa na baba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati huo wote yuko chini ya walezi na wadhamini mpaka wakati ule uliowekwa na baba yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ila hana budi kuwatii walezi na watunza mali, mpaka siku zitimie zilizowekwa na baba yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
bali yu chini ya mawakili na watunzaji, hata wakati uliokwisha kuamriwa na baba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa muda ule yeye ni chini ya madaraka ya watu wanaomuchunga na ya walinzi wa mali mpaka wakati baba yake aliopanga upate kutimia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
bali yu chini ya mawakili na watunzaji, hatta muhulla uliokwisha kuamriwa na baba.