Galatians 4:23 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yule wa mwanamke mtumwa alizaliwa kama kawaida, lakini yule wa mwanamke huru alizaliwa kutokana na ahadi ya Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini, mtoto wa mwanamke mtumwa alizaliwa kwa mapenzi ya mwili, na yule mwingine wa mwanamke huru alizaliwa kutokana na ahadi ya Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini yule wa mjakazi alizaliwa kwa mwili, yule wa mwungwana kwa ahadi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mwana wa Ibrahimu kutoka kwa mjakazi alizaliwa kwa namna ya kawaida ya kibinadamu. Lakini mwana kutoka kwa mwanamke aliyekuwa huru alizaliwa kwa sababu ya ahadi ambayo Mungu alimpa Ibrahimu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yule wa mwanamke mtumwa alizaliwa kama kawaida, lakini yule wa mwanamke huru alizaliwa kutokana na ahadi ya Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yule wa mwanamke mtumwa alizaliwa kama kawaida, lakini yule wa mwanamke huru alizaliwa kutokana na ahadi ya Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini, mtoto wa mwanamke mtumwa alizaliwa kwa mapenzi ya mwili na yule mwingine wa mwanamke huru alizaliwa kutokana na ahadi ya Mungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini, mtoto wa mwanamke mtumwa alizaliwa kwa mapenzi ya mwili, na yule mwingine wa mwanamke huru alizaliwa kutokana na ahadi ya Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini yule wa mjakazi alizaliwa kwa mwili, yule wa mwanamke huru kwa ahadi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yule wa mwanamke mtumwa alizaliwa kama kawaida, lakini yule wa mwanamke huru alizaliwa kutokana na ahadi ya Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini yule wa Kijakazi alizaliwa kwa tamaa ya mwili, lakini yule wa mwungwana alizaliwa kwa nguvu ya kiagio
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini yule wa mjakazi alizaliwa kwa mwili, yule wa mwungwana kwa ahadi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule mwana wa mujakazi alizaliwa sawa kawaida, lakini yule wa muke huru alizaliwa kutokana na ahadi ya Mungu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini yule wa mjakazi alizaliwa kwa mwili, yule wa mwungwana kwa ahadi.