Galatians 4:28 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa, basi, ndugu zangu, nyinyi ni watoto wa Mungu kutokana na ahadi yake kama alivyokuwa Isaka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi, sisi ndugu zangu, ni kama Isaka, tu watoto wa ahadi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, ndugu zangu, kama Isaka sisi tu watoto wa ahadi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ndugu zangu, ninyi ni watoto mliozaliwa kwa sababu ya ahadi ya Mungu, kama Isaka alivyozaliwa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Sasa, basi, ndugu zangu, ninyi ni watoto wa Mungu kutokana na ahadi yake kama alivyokuwa Isaka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa, basi, ndugu zangu, nyinyi ni watoto wa Mungu kutokana na ahadi yake kama alivyokuwa Isaka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi, sisi ndugu zangu, ni kama Isaki, tu watoto wa ahadi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi, sisi ndugu zangu, ni kama Isaka, tu watoto wa ahadi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, ndugu zangu, kama Isaka sisi tu watoto wa ahadi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa, basi, ndugu zangu, nyinyi ni watoto wa Mungu kutokana na ahadi yake kama alivyokuwa Isaka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini ninyi ndugu, mmekuwa wana wa kiagio kama Isaka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, ndugu zangu, kama Isaka sisi tu watoto wa ahadi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nanyi wandugu ni watoto wa Mungu waliozaliwa kutokana na ahadi yake kama vile Isaka.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Sisi, ndugu, kama Isaak, tu watoto wa ahadi.