Galatians 4:5 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
apate kuwakomboa wale waliokuwa chini ya sheria ili sisi tufanywe wana wa Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ili awakomboe wale waliokuwa chini ya sheria, nasi tupate kupokea zile haki kamili za kufanywa wana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kusudi awakomboe hao waliokuwa chini ya sheria, ili sisi tupate kupokea hali ya kuwa wana.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mungu alifanya hivi ili aweze kuwaweka huru wale waliokuwa chini ya sheria. Kusudi la Mungu lilikuwa kutuasili sisi kama watoto wake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
apate kuwakomboa wale waliokuwa chini ya Sheria ili sisi tufanywe wana wa Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
apate kuwakomboa wale waliokuwa chini ya sheria ili sisi tufanywe wana wa Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kusudi awakomboe wale waliokuwa chini ya sheria, ili tupate kupokea zile haki kamili za kufanywa watoto wa Mungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kusudi awakomboe wale waliokuwa chini ya sheria, ili tupate kupokea zile haki kamili za kufanywa watoto wa Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kusudi awakomboe hao waliokuwa chini ya sheria, ili sisi tupate kupokea hali ya kuwa wana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
apate kuwakomboa wale waliokuwa chini ya sheria ili sisi tufanywe wana wa Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kusudi awakomboe walioyatii Maonyo, kwamba tupate kuwa wana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kusudi awakomboe hao waliokuwa chini ya sheria, ili sisi tupate kupokea hali ya kuwa wana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kusudi awakomboe wale walioishi chini ya uongozi wa Sheria. Alifanya vile kusudi tupate kuwa wana wa Mungu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
illi awakomboe waliokuwa chini ya sharia, tupate kupokea hali ya wana.