Galatians 5:12 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Laiti hao wanaowavurugeni wangejihasi wenyewe!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Laiti hao wanaowavuruga wangejihasi wao wenyewe!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Laiti hao wanaowatia mashaka wangejikata nafsi zao!
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Natamani watu hao wanaowasumbua wangeongeza na kuhasi juu ya tohara yao.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Laiti hao wanaowavurugeni wangejikatakata wenyewe!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Laiti hao wanaowavurugeni wangejihasi wenyewe!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Laiti hao wanaowavuruga wangejihasi wao wenyewe!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Laiti hao wanaowavuruga wangejihasi wao wenyewe!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Laiti hao wanaowatia mashaka wangejikata nafsi zao!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Laiti hao wanaowavurugeni wangejihasi wenyewe!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ingefaa, wale wenye kuwatukusa wakatwe na kutengwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Laiti hao wanaowatia mashaka wangejikata nafsi zao!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Heri wale wanaoleta fujo kati yenu wangejikata viungo vyao vya uzazi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ningependa hawo wanaowatieni mashaka wangejikata nafsi zao.