Galatians 5:18 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama mkiongozwa na Roho, basi, hamko tena chini ya sheria.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini mkiongozwa na Roho wa Mungu, hamko chini ya Torati.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini mkiongozwa na Roho, hampo chini ya sheria.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini mkimruhusu Roho awaongoze, hamtakuwa chini ya sheria.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kama mkiongozwa na Roho, basi, hamko tena chini ya Sheria.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama mkiongozwa na Roho, basi, hamko tena chini ya sheria.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kama mkiongozwa na Roho, hamko chini ya sheria.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kama mkiongozwa na Roho, hamko chini ya sheria.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini mkiongozwa na Roho, hampo chini ya sheria.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama mkiongozwa na Roho, basi, hamko tena chini ya sheria.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mkiongozwa na Roho ham tena watumwa wa Maonyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini mkiongozwa na Roho, hampo chini ya sheria.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kama mukiongozwa na Roho Mutakatifu, hamutaishi tena chini ya Sheria.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini nikiongozwa na Roho, hunpo chini ya sharia.