Galatians 5:2 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sikilizeni! Ni mimi Paulo ninayesema nanyi! Kama mkikubali kutahiriwa, Kristo hatawafaidia chochote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sikilizeni! Mimi, Paulo, nawaambieni kwamba mkikubali kutahiriwa, basi Al-Masihi hatakuwa na thamani kwenu hata kidogo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, mimi Paulo nawaambia ninyi ya kwamba, mkitahiriwa, Kristo hatawafaidia neno.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Sikilizeni! Mimi Paulo nawaambia kwamba ikiwa mtakubali kutahiriwa, basi Kristo hatakuwa na manufaa kwenu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Sikilizeni! Ni mimi Paulo ninayesema nanyi! Kama mkikubali kutahiriwa, Kristo hatawafaidia chochote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sikilizeni! Ni mimi Paulo ninayesema nanyi! Kama mkikubali kutahiriwa, Kristo hatawafaidia chochote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sikilizeni! Mimi, Paulo, nawaambieni kwamba kama mkikubali kutahiriwa, basi Kristo hatawafaidia cho chote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sikilizeni! Mimi, Paulo, nawaambieni kwamba kama mkikubali kutahiriwa, basi Al-Masihi hatawafaidia chochote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, mimi Paulo nawaambia ninyi ya kwamba, mkitahiriwa, Kristo hatawafaidi neno.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sikilizeni! Ni mimi Paulo ninayesema nanyi! Kama mkikubali kutahiriwa, Kristo hatawafaidia chochote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazameni, mimi Paulo nawaambiani: Kristo hatawafaa kitu, mkitahiriwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, mimi Paulo nawaambia ninyi ya kwamba, mkitahiriwa, Kristo hatawafaidia neno.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musikilize! Mimi Paulo ninataka kuwaambia kwamba kama mukikubali kutahiriwa, Kristo hana mafaa yoyote kwenu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Fahamuni, mimi Paolo nawaambia ninyi ya kwamba, mkitahiriwa, Kristo hatawafaidia neno.