Galatians 5:25 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tukiishi kwa msaada wa Roho, na tuufuate mwongozo wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa tunaishi kwa Roho wa Mungu, basi, tuenende kwa Roho.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tukiishi kwa Roho, na tuenende kwa Roho.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Tunayapata maisha yetu mapya kutoka kwa Roho, hivyo tunapaswa kuufuata uongozi wa Roho.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Tukiishi kwa msaada wa Roho, na tuufuate mwongozo wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tukiishi kwa msaada wa Roho, na tuufuate mwongozo wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa tunaishi kwa Roho, basi, tuenende kwa Roho.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa tunaishi kwa Roho, basi, tuenende kwa Roho.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tukiishi kwa Roho, na tuenende kwa Roho.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tukiishi kwa msaada wa Roho, na tuufuate mwongozo wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Tukiwa wa Kiroho na tuendelee Kiroho!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tukiishi kwa Roho, na tuenende kwa Roho.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kufuatana na vile tunavyoishi kwa nguvu za Roho, basi tufuate maongozi ya Roho vilevile.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Tukiisbi kwa Roho, na tuenende kwa Roho.