Galatians 5:26 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, tusijivune, tusichokozane wala kuoneana wivu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tusijisifu bure, tukichokozana na kuoneana wivu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tusijisifu bure, tukichokozana na kuhusudiana.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Tusijivune na kujisifu juu yetu wenyewe. Hatupaswi kuchokozana kwa mashindano baina yetu ama kuoneana wivu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, tusijivune, tusichokozane wala kuoneana wivu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, tusijivune, tusichokozane wala kuoneana wivu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tusijisifu bure, tukichokozana na kuoneana wivu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tusijisifu bure, tukichokozana na kuoneana wivu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tusijisifu bure, tukichokozana na kuhusudiana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, tusijivune, tusichokozane wala kuoneana wivu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tusitafute utukufu ulio wa bure, tukichokozana, tena tukioneana kijicho!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tusijisifu bure, tukichokozana na kuhusudiana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tusijivune, tusichokozane wala kuoneana wivu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Tusijisifu burre, tukichokozana na kuhusudiana.