Galatians 5:7 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenendo wenu ulikuwa mzuri! Nani, basi, aliyewazuia kuuzingatia ukweli?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mlikuwa mkipiga mbio vizuri. Ni nani aliyewazuia msiitii kweli?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mlikuwa mkipiga mbio vizuri; ni nani aliyewazuia msiitii kweli?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mlikuwa mnapiga mbio vizuri sana. Ni nani aliyewafanya mkaacha kuitii kweli?
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mwenendo wenu ulikuwa mzuri! Nani, basi aliyewazuia kuuzingatia ukweli?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenendo wenu ulikuwa mzuri! Nani, basi, aliyewazuia kuuzingatia ukweli?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mlikuwa mkipiga mbio vizuri, ni nani aliyewazuia msiitii kweli?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mlikuwa mkipiga mbio vizuri. Ni nani aliyewazuia msiitii kweli?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mlikuwa mkipiga mbio vizuri; ni nani aliyewazuia msiitii kweli?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenendo wenu ulikuwa mzuri! Nani, basi, aliyewazuia kuuzingatia ukweli?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mlianza kushika njia nzuri; yuko nani aliyewakwaza, msiyatii yaliyo ya kweli?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mlikuwa mkipiga mbio vizuri; ni nani aliyewazuia msiitii kweli?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninyi mulikuwa na mwenendo muzuri! Ni nani aliyewazuiza kushika ukweli?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mlikuwa mkipiga mbio vizuri: ni nani aliyewazuia msiitii kweli?