Galatians 5:8 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliyesababisha hali hiyo si Mungu ambaye amewaiteni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ushawishi kama huo haukutoka kwa yule anayewaita.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kushawishi huku hakukutoka kwake yeye anayewaita ninyi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hakika hakuwa yule aliyewachagua.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Aliyesababisha hali hiyo si Mungu ambaye amewaiteni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliyesababisha hali hiyo si Mungu ambaye amewaiteni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ushawishi wa namna hiyo haukutokana na yule anayewaita.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ushawishi wa namna hiyo haukutokana na yule anayewaita.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kushawishi huku hakukutoka kwake yeye anayewaita ninyi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliyesababisha hali hiyo si Mungu ambaye amewaiteni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kazi hii ya kuwavutavuta hivyo haikutoka kwake yeye aliyewaita.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kushawishi huku hakukutoka kwake yeye anayewaita ninyi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kishawishi hicho hakikutoka kwa Mungu anayewaita ninyi kuwa watu wake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kushawishi huku hakukutoka kwake yeye aliyewaita.