Galatians 6:16 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanaoufuata mwongozo huo nawatakia amani na huruma; amani na huruma kwa Israeli — watu wa Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Amani na rehema viwe na wote wanaofuata kanuni hii, hata kwa Israeli wa Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wote watakaoenenda kwa kanuni hiyo, amani na iwe kwao na rehema, naam, kwa Israeli wa Mungu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Amani iwe kwa wale wote wanaoifuata njia hii mpya. Na rehema za Mungu ziwe juu ya watu wake Israeli.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wanaoufuata mwongozo huo nawatakia amani na huruma; amani na huruma kwa Israeli—Wateule wa Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanaoufuata mwongozo huo nawatakia amani na huruma; amani na huruma kwa Israeli — watu wa Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Amani na rehema viwe na wote wanaofuata kanuni hii na juu ya Israeli wa Mungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Amani na rehema viwe na wote wanaofuata kanuni hii, na juu ya Israeli wa Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wote watakaoenenda kwa kanuni hiyo, amani na iwe kwao na rehema, naam, kwa Israeli wa Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanaoufuata mwongozo huo nawatakia amani na huruma; amani na huruma kwa Israeli – watu wa Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wote wanaoendelea na kujipingia hivyo na watengemane, upole uwakalie pamoja nao Waisiraeli wa Mungu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wote watakaoenenda kwa kanuni hiyo, amani na iwe kwao na rehema, naam, kwa Israeli wa Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na wote wanaofuata kanuni hii katika maisha yao pamoja na watu wa Mungu wanaohesabiwa kama Waisraeli wa kweli, ninawatakia amani na wema.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na wote watakaoiendea kanuni hii, amani kwao na rehema, naam, kwa Israeli wa Mungu.