Galatians 6:3 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtu akijiona kuwa ni kitu, na kumbe si kitu, huyo anajidanganya mwenyewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtu yeyote akijiona kuwa yeye ni bora na kumbe sivyo, basi mtu huyo anajidanganya mwenyewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana mtu akijiona kuwa ni kitu, naye si kitu, ajidanganya nafsi yake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Maana mtu akijiona kuwa yeye ni wa muhimu sana na kumbe sio wa muhimu, anajidanganya mwenyewe.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mtu akijiona kuwa ni kitu, na kumbe si kitu, huyo anajidanganya mwenyewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtu akijiona kuwa ni kitu, na kumbe si kitu, huyo anajidanganya mwenyewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama mtu ye yote akijiona kuwa yeye ni bora na kumbe sivyo, basi mtu huyo anajidanganya mwenyewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama mtu yeyote akijiona kuwa yeye ni bora na kumbe sivyo, basi mtu huyo anajidanganya mwenyewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana mtu akijiona kuwa ni kitu, naye si kitu, ajidanganya nafsi yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtu akijiona kuwa ni kitu, na kumbe si kitu, huyo anajidanganya mwenyewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani mtu akijiwazia kuwa mwenye nguvu, tena siye, hujidanganya mwenyewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana mtu akijiona kuwa ni kitu, naye si kitu, ajidanganya nafsi yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama mutu akijizania kwamba yeye ni kitu, ijapokuwa yeye si kitu, anajidanganya yeye mwenyewe.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maana mtu akijiona kuwa kitu, nae si kitu, ajidanganya nafsi yake.