Genesis 1:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu akasema, “Mianga na iweko angani, itenge mchana na usiku, ioneshe nyakati, majira, siku na miaka,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mungu akasema, “Iwepo mianga kwenye nafasi ya anga ili itenganishe usiku na mchana, nayo iwe alama ya kutambulisha majira mbalimbali, siku na miaka,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mungu akasema, Na iwe mianga katika anga la mbingu ili itenge kati ya mchana na usiku; nayo iwe ndiyo dalili na majira na siku na miaka;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu akasema, “Mianga na iweko angani, itenge mchana na usiku, ioneshe nyakati, majira, siku na miaka,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mungu akasema, “Iwepo mianga kwenye nafasi ya anga ili itenganishe mchana na usiku, nayo iwe alama ya kutambulisha majira mbalimbali, siku na miaka,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwenyezi Mungu akasema, “Iwepo mianga kwenye nafasi ya anga ili itenganishe usiku na mchana, nayo iwe alama ya kutambulisha majira mbalimbali, siku na miaka,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mungu akasema, Na iwe mianga katika anga la mbingu ili itenge kati ya mchana na usiku; nayo iwe ndiyo dalili ya kuonesha majira, siku na miaka;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu akasema, “Mianga na iweko angani, itenge mchana na usiku, ioneshe nyakati, majira, siku na miaka,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu akasema: Na iwe mianga penye utando wa mbingu ya kuutenga mchana na usiku, iwe vielekezo vya kujulisha sikukuu na siku nyingine na miaka;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mungu akasema, Na iwe mianga katika anga la mbingu ili itenge kati ya mchana na usiku; nayo iwe ndiyo dalili na majira na siku na miaka;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu akasema: “Miangaza ikuwe katika anga, itenge muchana na usiku. Ikuwe vitambulisho kwa kuonyesha nyakati, siku na miaka,