Genesis 1:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ipate kutawala mchana na usiku, na kuutenga mwanga na giza. Mungu akaona kuwa ni vyema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
itawale usiku na mchana, na ikatenganishe nuru na giza. Mungu akaona kuwa hili ni jema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na kuutawala mchana na usiku na kutenga nuru na giza; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ipate kutawala mchana na usiku, na kuutenga mwanga na giza. Mungu akaona kuwa ni vyema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
itawale mchana na usiku, na ikatenganishe nuru na giza. Mungu akaona kuwa hili ni jema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
itawale usiku na mchana, na ikatenganishe nuru na giza. Mwenyezi Mungu akaona kuwa hili ni jema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na kuutawala mchana na usiku na kutenga nuru na giza; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ipate kutawala mchana na usiku, na kuutenga mwanga na giza. Mungu akaona kuwa ni vyema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na kuutawala mchana na usiku, na kuutenga mwanga na giza. Mungu akayaona kuwa mema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na kuutawala mchana na usiku na kutenga nuru na giza; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ipate kutawala muchana na usiku, na kutenga mwangaza na giza. Mungu akaona kwamba ni vizuri.