Genesis 1:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu akasema, “Maji na yatoe makundi ya viumbe hai na ndege waruke angani.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mungu akasema, “Kuwepo na viumbe hai tele kwenye maji, nao ndege waruke juu ya dunia katika nafasi ya anga.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mungu akasema, Maji na yajawe kwa wingi na kitu kiendacho chenye uhai, na ndege waruke juu ya nchi katika anga la mbingu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu akasema, “Maji na yatoe makundi ya viumbe hai na ndege waruke angani.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mungu akasema, “Kuwepo na viumbe hai tele kwenye maji, ndege waruke juu ya dunia katika nafasi ya anga.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwenyezi Mungu akasema, “Kuwepo na viumbe hai tele kwenye maji, nao ndege waruke juu ya dunia katika nafasi ya anga.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mungu akasema, Maji na yajawe kwa wingi na viumbe vyenye uhai, na ndege waruke juu ya nchi katika anga la mbingu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu akasema, “Maji na yatoe makundi ya viumbe hai na ndege waruke angani.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu akasema: Maji na yajae viumbe vya kuwa humo vyenye uzima, hata ndege na waruke juu ya nchi chini ya utando wa mbingu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mungu akasema, Maji na yajawe kwa wingi na kitu kiendacho chenye uhai, na ndege waruke juu ya nchi katika anga la mbingu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu akasema: “Maji yajae makundi ya viumbe vyenye uzima. Na ndege waruke katika anga.”