Genesis 10:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoka huko, Nimrodi alikwenda Ashuru, akajenga miji ya Ninewi, Rehoboth-iri, Kala na
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutoka nchi ile alienda Ashuru, ambako alijenga miji ya Ninawi, na Rehoboth-Iri, na Kala,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akatoka katika nchi ile akaenda mpaka Ashuru, akajenga Ninawi, na Rehoboth-iri, na Kala;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutoka huko, Nimrodi alikwenda Ashuru, akajenga miji ya Ninewi, Rehoboth-iri, Kala na
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutoka katika nchi ile alikwenda Ashuru, ambako alijenga Ninawi, Rehobothiri, Kala
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutoka nchi ile alikwenda Ashuru, ambako alijenga Ninawi, Rehoboth-iri, Kala,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akatoka katika nchi ile akaenda mpaka Ashuru, akajenga Ninawi, na Rehoboth-iri, na Kala;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoka huko, Nimrodi alikwenda Ashuru, akajenga miji ya Ninewi, Rehoboth-iri, Kala na
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akatoka katika nchi hii kwenda Asuri, akajenga huko Niniwe na Rehoboti, Iri na Kala,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akatoka katika nchi ile akaenda mpaka Ashuru, akajenga Ninawi, na Rehoboth-iri, na Kala;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoka kule, Nimurodi alikwenda Asuria, akajenga miji ya Ninawe, Rehoboti-Iri, Kala na