Genesis 10:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shemu, mkubwa wa Yafethi, alikuwa baba yao Waebrania wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Shemu, ndugu mkubwa wa Yafethi, alizaa wana pia. Shemu alikuwa baba wa wana wote wa Eberi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Shemu ambaye ni baba wa wana wote wa Eberi, na ndugu mkubwa wa Yafethi, akazaliwa wana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shemu, mkubwa wa Yafethi, alikuwa baba yao Waebrania wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Shemu ambaye ni ndugu mkubwa wa Yafethi, kwake kulizaliwa wana pia. Shemu alikuwa baba wa wana wote wa Eberi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Shemu ambaye ni ndugu mkubwa wa Yafethi, kwake kulizaliwa wana pia. Shemu alikuwa baba wa wana wote wa Eberi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Shemu ambaye ni baba wa wana wote wa Eberi, na ndugu mkubwa wa Yafethi, akazaliwa wana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Shemu, mkubwa wa Yafethi, alikuwa baba yao Waebrania wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Semu, baba yao wana wote wa Eberi, aliyekuwa kaka yake yafeti, akazaliwa wana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Shemu ambaye ni baba wa wana wote wa Eberi, na ndugu mkubwa wa Yafethi, akazaliwa wana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Semu, mukubwa wa Yafeti, alikuwa baba ya Waebrania wote.