Genesis 10:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Eberi alikuwa na watoto wa kiume wawili; wa kwanza akamwita Pelegi kwa sababu wakati huo watu duniani waligawanyika, na wa pili akamwita Yoktani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Eberi akapata wana wawili: Mmoja wao aliitwa Pelegi, kwa kuwa wakati wake dunia iligawanyika; nduguye aliitwa Yoktani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Eberi akazaliwa wana wawili wa kiume; jina la wa kwanza ni Pelegi maana katika siku zake nchi iligawanyika; na jina la nduguye ni Yoktani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Eberi alikuwa na watoto wa kiume wawili: wa kwanza akamwita Pelegi kwa sababu wakati huo watu duniani waligawanyika, na wa pili akamwita Yoktani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Eberi akazaa wana wawili: Mmoja aliitwa Pelegi, kwa kuwa katika wakati wake ndipo dunia ilipogawanyika; nduguye aliitwa Yoktani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Eberi akapata wana wawili: Mmoja wao aliitwa Pelegi, kwa kuwa wakati wake ndipo dunia iligawanyika; nduguye aliitwa Yoktani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Eberi akazaliwa wana wawili wa kiume; jina la wa kwanza ni Pelegi, maana katika siku zake nchi iligawanyika; na jina la nduguye ni Yoktani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Eberi alikuwa na watoto wa kiume wawili; wa kwanza akamwita Pelegi kwa sababu wakati huo watu duniani waligawanyika, na wa pili akamwita Yoktani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Eberi akazaliwa wana wawili, jina lake wa kwanza ni Pelegi (Gawanyiko), kwa kuwa siku zake ndipo, nchi hii ilipogawanyika, nalo jina la nduguye ni Yokitani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Eberi akazaliwa wana wawili wa kiume; jina la wa kwanza ni Pelegi maana katika siku zake nchi iligawanyika; na jina la nduguye ni Yoktani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Eberi alikuwa na wana wawili: wa kwanza akamwita Pelegi kwa sababu wakati ule watu katika dunia waligawanyika na wa pili akamwita Yokitani.