Genesis 10:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nchi walimokaa ilienea toka Mesha mpaka Sefari katika nyanda za juu za mashariki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
(Eneo waliloishi lilienea kutoka Mesha kuelekea Sefari, kwenye nchi ya vilima iliyo mashariki.)
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Makao yao yalikuwa kutoka Mesha kwa njia ya Sefari, mlima wa mashariki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nchi walimokaa ilienea toka Mesha mpaka Sefari katika nyanda za juu za mashariki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nchi waliyoishi ilienea toka Mesha kuelekea Sefari kwenye nchi ya vilima iliyoko mashariki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nchi waliyoishi ilienea toka Mesha kuelekea Sefari kwenye nchi ya vilima iliyoko mashariki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Makao yao yalikuwa kutoka Mesha kwa njia ya Sefari, mlima wa mashariki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nchi walimokaa ilienea toka Mesha mpaka Sefari katika nyanda za juu za mashariki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo makao yao yalianza Mesa, yakafika mpaka mlima wa Sefari ulioko upande wa maawioni kwa jua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Makao yao yalikuwa kutoka Mesha kwa njia ya Sefari, mlima wa mashariki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Inchi walimokaa ilienea toka Mesa mpaka Sefari katika inchi ya vilima vya upande wa mashariki.