Genesis 10:32 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hao ndio jamaa za watoto wa Noa, kadiri ya vizazi vyao na mataifa yao. Kutokana nao mataifa yote yalienea duniani baada ya gharika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hizi ndizo koo za wana wa Nuhu, kufuatana na vizazi vyao, katika mataifa yao. Kutokana na hawa mataifa yalienea duniani kote baada ya gharika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hizo ndizo jamaa za wana wa Nuhu, kufuata vizazi vyao, katika mataifa yao; na kwa hao mataifa yaligawanyika katika nchi baada ya gharika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hao ndio jamaa za watoto wa Noa, kadiri ya vizazi vyao na mataifa yao. Kutokana nao mataifa yote yalienea duniani baada ya gharika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hizi ndizo koo za wana wa Noa, kufuatana na vizazi vyao, katika mataifa yao. Kutokana na hawa mataifa yalienea duniani kote baada ya gharika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hizi ndizo koo za wana wa Nuhu, kufuatana na vizazi vyao, katika mataifa yao. Kutokana na hawa mataifa yalienea duniani kote baada ya gharika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hizo ndizo jamaa za wana wa Nuhu, kufuata vizazi vyao, katika mataifa yao; na kwa hao mataifa yaligawanyika katika nchi baada ya gharika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hao ndio jamaa za watoto wa Noa, kadiri ya vizazi vyao na mataifa yao. Kutokana nao mataifa yote yalienea duniani baada ya gharika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hizi ndizo koo zao wana wa Noa, walivyofuatana kuzaliwa na kugawanyika kuwa mataifa. Kwa hiyo walijitenga kuwa mataifa yaliyokaa katika nchi baada ya mafuriko ya maji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hizo ndizo jamaa za wana wa Nuhu, kufuata vizazi vyao, katika mataifa yao; na kwa hao mataifa yaligawanyika katika nchi baada ya gharika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hao ndio jamaa za wana wa Noa, kufuatana na vizazi vyao na mataifa yao. Kutokana nao, mataifa yote yalienea katika dunia nyuma ya mafuriko ya maji.