Genesis 10:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kushi alikuwa baba yake Nimrodi ambaye alikuwa shujaa wa kwanza duniani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kushi akamzaa Nimrodi, ambaye alikua akawa shujaa mwenye nguvu duniani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kushi akamzaa Nimrodi, akaanza kuwa mtu hodari katika nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kushi alikuwa baba yake Nimrodi ambaye alikuwa shujaa wa kwanza duniani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kushi alikuwa baba yake Nimrodi, ambaye alikua akawa mtu shujaa mwenye nguvu duniani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kushi akamzaa Nimrodi, ambaye alikua akawa mtu shujaa duniani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kushi akamzaa Nimrodi, akaanza kuwa mtu hodari katika nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kushi alikuwa baba yake Nimrodi ambaye alikuwa shujaa wa kwanza duniani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kusi akamzaa Nimurodi; ndiye aliyeanza kuwa mwenye nguvu katika nchi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kushi akamzaa Nimrodi, akaanza kuwa mtu hodari katika nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kushi alikuwa baba ya Nimurodi ambaye alikuwa shujaa wa kwanza katika dunia.