Genesis 11:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, ikawa watu waliposafirisafiri kutoka mashariki, walifika katika nchi tambarare huko Shinari, wakakaa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu walipoelekea upande wa mashariki, wakafika kwenye tambarare katika nchi ya Shinari, nao wakaishi huko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa watu waliposafiri pande za mashariki waliona nchi tambarare katika nchi ya Shinari; wakakaa huko.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, ikawa watu waliposafirisafiri kutoka mashariki, walifika katika nchi tambarare huko Shinari, wakakaa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu walipoelekea upande wa mashariki, wakafika kwenye tambarare katika nchi ya Shinari nao wakaishi huko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu walipoelekea upande wa mashariki, wakafika kwenye tambarare katika nchi ya Shinari nao wakaishi huko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa watu waliposafiri pande za mashariki waliona nchi tambarare katika nchi ya Shinari; wakakaa huko.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, ikawa watu waliposafirisafiri kutoka mashariki, walifika katika nchi tambarare huko Shinari, wakakaa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa, walipoondoka kwenda upande wa maawioni kwa jua, wakaona bonde pana katika nchi ya Sinari, wakakaa huko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa watu waliposafiri pande za mashariki waliona nchi tambarare katika nchi ya Shinari; wakakaa huko.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, wakati watu waliposafirisafiri toka mashariki, wakafika katika inchi ya mabonde kule Sinari, wakakaa.