Genesis 11:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya kumzaa Nahori, Serugi aliishi miaka 200 na kupata watoto wengine wa kiume na wa kike.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya kumzaa Nahori, Serugi aliishi miaka mia mbili, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Serugi akaishi baada ya kumzaa Nahori miaka mia mbili, akazaa wana, waume na wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya kumzaa Nahori, Serugi aliishi miaka 200 na kupata watoto wengine wa kiume na wa kike.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya Serugi kumzaa Nahori, aliishi miaka 200, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya Serugi kumzaa Nahori, aliishi miaka 200, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Serugi akaishi baada ya kumzaa Nahori miaka mia mbili, akazaa wana, wa kiume na wa kike.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya kumzaa Nahori, Serugi aliishi miaka 200 na kupata watoto wengine wa kiume na wa kike.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Serugi alipokwisha kumzaa Nahori akawapo miaka 200, akazaa wana wa kiume na wa kike.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Serugi akaishi baada ya kumzaa Nahori miaka mia mbili, akazaa wana, waume na wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha kuzaa Nahori, Serugi aliishi miaka mia mbili, na kupata wana wengine na wabinti.