Genesis 11:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya kumzaa Tera, Nahori aliishi miaka 119, na kupata watoto wengine wa kiume na wa kike.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya kumzaa Tera, Nahori aliishi miaka mia moja na kumi na tisa (119), akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nahori akaishi baada ya kumzaa Tera miaka mia na kumi na kenda, akazaa wana, waume na wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya kumzaa Tera, Nahori aliishi miaka 119, na kupata watoto wengine wa kiume na wa kike.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya Nahori kumzaa Tera, aliishi miaka 119, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya Nahori kumzaa Tera, aliishi miaka 119, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nahori akaishi baada ya kumzaa Tera miaka mia moja na kumi na tisa, akazaa wana, wa kiume na wa kike.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya kumzaa Tera, Nahori aliishi miaka 119, na kupata watoto wengine wa kiume na wa kike.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nahori alipokwisha kumzaa Tera, akawapo miaka 119, akazaa wana wa kiume na wa kike.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nahori akaishi baada ya kumzaa Tera miaka mia na kumi na kenda, akazaa wana, waume na wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha kuzaa Tera, Nahori aliishi miaka mia moja kumi na tisa, na kupata wana wengine na wabinti.