Genesis 11:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tera alipokuwa na umri wa miaka 70, alimzaa Abramu na Nahori na Harani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tera alipokuwa ameishi miaka sabini, akamzaa Abramu, na baadaye akawazaa Nahori na Harani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tera akaishi miaka sabini, akamzaa Abramu, na Nahori, na Harani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tera alipokuwa na umri wa miaka 70, alimzaa Abramu na Nahori na Harani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tera alipokuwa na miaka sabini, akamzaa Abramu, Nahori na Harani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tera alipokuwa na miaka sabini, akamzaa Abramu, Nahori na Harani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tera akaishi miaka sabini, akamzaa Abramu, na Nahori, na Harani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tera alipokuwa na umri wa miaka 70, alimzaa Abramu na Nahori na Harani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tera alipokuwa mwenye miaka 70 akamzaa Aburamu na Nahori na Harani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tera akaishi miaka sabini, akamzaa Abramu, na Nahori, na Harani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tera alipokuwa na umri wa miaka makumi saba, akazaa Abramu, Nahori, na Harani.