Genesis 11:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wafuatao ni wazawa wa Tera, baba yao Abramu, Nahori na Harani. Harani alikuwa baba yake Loti.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivi ndivyo vizazi vya Tera. Tera aliwazaa Abramu, Nahori na Harani. Harani akamzaa Lutu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hivi ndivyo vizazi vya Tera. Tera akamzaa Abramu, na Nahori, na Harani. Harani akamzaa Lutu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wafuatao ni wazawa wa Tera, baba yao Abramu, Nahori na Harani. Harani alikuwa baba yake Loti.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawa ndio wazao wa Tera. Tera aliwazaa Abramu, Nahori na Harani. Harani akamzaa Loti.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawa ndio wazao wa Tera. Tera aliwazaa Abramu, Nahori na Harani. Harani akamzaa Lutu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hivi ndivyo vizazi vya Tera. Tera akamzaa Abramu, na Nahori, na Harani. Harani akamzaa Lutu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wafuatao ni wazawa wa Tera, baba yao Abramu, Nahori na Harani. Harani alikuwa baba yake Loti.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivi ndivyo vizazi vya Tera: Tera akamzaa Aburamu na Nahori na Harani. Naye Harani akamzaa Loti.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hivi ndivyo vizazi vya Tera. Tera akamzaa Abramu, na Nahori, na Harani. Harani akamzaa Lutu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hawa ndio wazao wa Tera, baba ya Abramu, Nahori na Harani. Harani alikuwa baba ya Loti.